Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Monday, September 22, 2014

SEMINA YA KUWAJENGEA UWEZO WAJUMBE WA ASASI YA AMAWAWA

 Watoa mada Frank Msuku(Kulia) na James Kapele wakipitia makabrasha kabla ya kuanza kutoa mada kwenye warsha hiyo ya siku moja iliyofadhiliwa na shirika la The Foundation For Civil Society
 Diwani wa kata ya Kasisiwe Bw.Mavazi akizungumza jambo wakati akifungua warsha hiyo
 Washiriki na wakufunzi wakiwa katika picha ya pamoja

 Muelimishaji James Kapele akitoa mada




 Mmoja wa wajumbe wa AMAWAWA mwalimu Chaka akihoji jambo

 Katibu wa AMAWAWA Bw.Milambo akiwaelekeza washiriki namna ng'ombe waliofugwa katika shamba darasa la Amawawa walivyo katika aina tofauti
 Mwenyekiti wa Amawawa Bw.Oscar Msangi akibainisha namna ng'ombe hao walivyotofautiana katika uwezo wa kutoa maziwa



No comments:

Post a Comment