Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Friday, January 23, 2015

ZIARA YA WAJUMBE WA KAMATI YA BUNGE YA KUDUMU YA MIUNDOMBINU BANDARI ZA KIWIRA NA ITUNGI ZIWA NYASA

 Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Miundombinu wakikagua eneo la Bandari ya Itungi lililokuwa limejaa mchanga awali na mchanga huo kuondolewa na maji ya mafuriko ya Aprili mwaka jana











Mkuu wa Bandari ya Kyela Parcival Salama akitoa maelezo ya Bandari ya Itungi kwa waziri wa Miundombinu Dk Harison Mwakyembe na wajumbe wa kamati ya kudumu ya bunge ya Miundombinu.
 Mhariri mkuu wa Lyamba Lya Mfipa Ndugu Joachim Nyambo akiwa katika boti na baadhi ya wajumbe wa kamati ya bunge ya miundombinu kukagua bandari ya Itungi.



No comments:

Post a Comment