Ng'ombe
wakiwa katika eneo oevu la Ziwa Rukwa upande wa eneo la wilaya ya
Chunya.Uingizwaji wa mifugo katika eneo hili umekuwa ukitajwa kuchangia
uharibifu mkubwa wa mazingira na kuhatarisha uhai wa ziwa hilo.
Wachimbaji wadogo wa madini katika kata ya Matundasi wilayani Chunya
wakiendelea na utafutaji wa madini aina ya dhahabu katika moja ya
mabonde ambayo ni vyanzo vya maji ya mto Lupa ambao hutiririsha maji
yake ziwa Rukwa.
No comments:
Post a Comment