Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Thursday, July 30, 2015

HATARIIIIIIIIIII!!!!! HATARIIIIIIIIIIIII!!!! HATARIIIIIIIIIII!!!!!!


Raia wa nchini China Mume na mkewe wamekamatwa Kariakoo jijini Dar es salaama wakijaza maji ya Bomba ya Dawasco kwenye chupa na kwenda kuyauza mitaani.

No comments:

Post a Comment