Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Wednesday, September 30, 2015

KAMPUNI YA TIGO YAKABIDHI MSAADA WA DAWATI 700 MKOANI MBEYA

 Mkuu wa mkoa wa Mbeya Abbas Kndoro(kulia)na Afisa Mtendaji mkuu wa kampuni ya Tigo Diego Gutierrez wakifurahi kwa kukalia moja ya dawati 700 zilizotolewa na kampuni hiyo kwaajili ya shule 32 za mkoani Mbeya.
 Afisa Mtendaji mkuu wa kampuni ya Tigo Diego Gutierrez akizungumza lengo la msaada huo.




No comments:

Post a Comment