Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Wednesday, June 29, 2016

MAMBO YA SIKUKUU YA IDD YAANZA KUNUKIA



Hapo sasa!, Band yetu ya jiji la Mbeya inayopiga muziki wa Bongo Rumba kwa style ya miondoko ya dollale ndani ya Club K-Mo Kiwira Motel MOON LIGHT BAND,sikukuu ya IDDI Watahama kiwanja watakuwa wakiwapa Maraha watu wa mpaka wa Malawi na Tanzania wilayani Kyela kwa ubora wao, Usikoseeeeee....mkurugenzi wa Band Bob Lau anakujuzaaaa...

No comments:

Post a Comment