Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Tuesday, January 17, 2017

IMETOKEA JIJINI DAR ES SALAAM

Katika hali ya kushangaza gari la maji taka lamwaga uchafu unaodhaniwa kuwa ni ya kinyesi katika maeneo ya makutano ya barabara maarufu kama Ubungo Mataa.
- Kwa mujibu wa chanzo kisichokuwa rasmi inadaiwa kuwa kuna vijana wasiofahamika walifungua koki ya gari hilo na kusababisha kadhia hiyo.
Wengine wanasema Teja kachafua hali ya hewa leo ubungo walizoea kufungua koki za magari ya mafuta ili kukinga mafuta yaliyobaki kwenye tanki sasa leo hakuangalia kwa makini kilichokuwepo kwenye gari na hakusoma kuwa limeandikwa MAJI TAKA sasa kilichotokea baada ya kufungua ndo hiki alijikuta anaoga maji haya full kunuka unyunyu


No comments:

Post a Comment