Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Friday, February 17, 2017

BIRTHDAY YA MTOTO MYLA SAID BENJAMINI

Mtoto Myla Benjamini akisaidiwa na mshereheshaji Brandy Nelson kukata keki wakati wa Sherehe yake ya kumbukumbu ya kuzaliwa iliyofanyika Februari 14 akiwa anatimiza miaka minne nyumbani kwao Mbalizi wilayani Mbeya.

 Mtoto Myla Benjamini akikata keki tayari kwa kuwalisha waalikwa wakati wa Sherehe yake ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake iliyofanyika Februari 14 akiwa anatimiza miaka minne.
 Mtoto Myla Benjamini akimlisha keki Baba yake Mzazi Said Benjamini

No comments:

Post a Comment