Monday, June 12, 2017
Wednesday, June 7, 2017
ZIARA YA WANAFUNZI WA CHUO CHA SAUT KISIWANI SAANANE
Wanafunzi wa Sociology
mwaka wa pili katika chuo kikuu cha Mtakatifu Augustin(SAUT) cha Mwanza
wakiruka kwa furaha katika moja yam awe makubwa ambayo ni kivutio ndani ya
hifadhi ya Saanane ndani ya Ziwa Victoria.
Hapa wanafunzi wakifurahia jambo wakiwa kwenye boti maalumu la kitalii.Katika hifadhi ya Kisiwa hiki chenye vivutio lukuki,Wanyama
wakali kama Simba waliondolewa na kubakia Wanyama wapole kama Swala, Pundamilia
na Ndege wa aina mbalimbali.
Mmoja wa wanafunzi hao Lummie Julius Tupa akiwa katika pozi kwenye moja ya maeneo ya mapumziko kisiwani hapo
Michezo mbalimbali iliendelea Kisiwani hapa,hakika ilikuwa siku ya kipekee na isiyosahaulika,ukiwa Hifadhini saanane hautoishia kuona wanyama kama Swala, Pundamilia
na Ndege pekee yapo mambo mengine meengi ya kuvutia.
Subscribe to:
Posts (Atom)