Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Thursday, January 11, 2024

DK. TULIA ASHIRIKI BONANZA LA PAMOJA ZANZIBAR



 Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson,  ameshiriki Bonanza la pamoja lililohusisha michezo mbalimbali kati ya Baraza la Wawakilishi Sport club,  Bunge Sport club na NMB Sport Club lililofanyika Visiwani Zanzibar leo tarehe 11 Januari, 2024

No comments:

Post a Comment