Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Sunday, September 4, 2016

TANGAZO TANGAZO TANGAZO

HABARI NJEMA KWA WAKAZI MKOANI
MBEYA.
Kwa niaba ya Kampuni ya Baarazani napenda kuwatangazia nafasi ya kazi ya usambazaji Filamu za wasanii magwiji Tanzaniaa(Bongo Movie) kwa kutumia mfumo wa kisasa.Kijana atanufaika kupitia gawio la kila kazi atakayokuwa ameisambaza.


VIGEZO
jinsia : wanawake 66% na wanaume 34%
umri : 18 - 35 kama ni chini ya 18 ni lazima udhamini wa serikali ya mtaa, afisa mtendaji na ustawi wa jamii.. (wote)
Elimu : ajue kusoma na kuandika tu.
Lugha : nzuri wakijua lugha ya mkoa husika walau kusalimia.. na kiswahili..
Shughuli : asiyekuwa na ajira, awe hajawahi kujihusisha na uuzaji wa filamu huko nyuma kwenye liblary, vibanda ama kwa namna yeyote..
hali mwili : asiwe mwenye ulemavu wa kumzuia kuyafikia maeneo aliyopangiwa. Asiwe bubu. Albino apewe nafasi..


WASILIANA NASI KUPITIA 0756 40 95 97 EMAIL nyambojoachim@gmail.com

No comments:

Post a Comment