Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Wednesday, October 3, 2012

utumikishwaji watoto



 Mwanafunzi wa darasa la tano katika shule ya msingi Mapogoro iliyopo wilayani Chunya Lusia Mawazo(10) akiwa amemmeba mdogo wake aitwaye Musa Mawazo walipoungana na wakazi wengine wa kijiji cha Mapogoro kusikiliza hotuba ya balozi wa Denimaki John Fratq alipotembelea mradi wa hifadhi ya msitu iliyopo kijijini hapo.(Picha na Joachim Nyambo)

No comments:

Post a Comment