Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Friday, January 1, 2016

TANZIA TANZIA TANZIA



Mhariri mkuu wa Blogu ya Lyamba Lya Mfipa Bwana Joachim Nyambo,anasikitika kutangaza kifo cha mjomba yake Nickas Nkana kilichotokea usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Tumbi iliyopo mkoani Pwani.Safari ya kusafirisha mwili wa marehemu kuelekea Sumbawanga mkoani Rukwa inatarajiwa kuanza wakati wowote mara baada ya taratibu za usafiri kukamilika.
Habari ziwafikie,ndugu,jamaa na marafiki wote.

Bwana alitoa na Bwana ametwaa,jina la bwana na libarikiwe!

No comments:

Post a Comment