Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Sunday, September 23, 2012

RC AKATAA TAARIFA YA MKURUGENZI


MKURUGENZI wa halmashauri ya wialaya ya Mbozi Levison Chilewa amejikuta katika wakati mgumu baada ya mkuu wa mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro kuikataa taarifa yake iliyokuwa ikizungumzia matarajio ya mavuno wakati kipindi cha mavuno kilikwisha malizika.

No comments:

Post a Comment