Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Thursday, September 20, 2012

YANGA,PRISON ZA

-->
JUMLA ya shilingi 50,436,000 zimekusanywa katika mchezo wa ligi kuu ya Tanzania bara kati ya timu ya Yanga ya Dar es salaam na Tanzania Prison ya jijini Mbeya uliochezwa jumamosi katika uwanja wa Sokoine jijini hapa.

Katibu wa chama cha soka mkoani Mbeya (MREFA) Lawrence Mwakitalu ametangaza makusanyo hayo yaliyopatikana kwa njia ya viingilio kutoka kwa mashabiki 16,812 waliofika kushuhudia mchezo huo.

No comments:

Post a Comment