Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Friday, January 6, 2017

DC IRANDO ATEMBELEA WAATHIRIKA WA KIMBUNGA KATA ZA IVUNA NA MKOMBA

Mkuu wa wilaya ya Momba Juma Irando akisikiliza maelezo ya maafa ya kimbunga cha upepo ulioambatana na mvua yaliyotokea mwishoni mwa mwaka jana katka kata ya Ivuna wilayani hapo.



 Mkuu wa wilaya ya Momba Juma Irando akikagawa msaada wa vyakula kwa baadhi ya waathirika wa Kimbunga cha upepo kilichoambatana na mvua katika kata ya Ivuna wilayani Momba.


No comments:

Post a Comment