Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Monday, January 2, 2017

DC MOMBA AFUNGA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA

Mkuu wa wilaya ya Momba mkoani Songwe,Juma Irando akihutubia wakati wa kufunga Mafunzo ya Jeshi la Akiba 126 yaliyofanyika katika kata ya Nzoka wilayani humo.
Wahitimu wa mafunzo ya Jeshi la akiba(Mgambo) wakimsikiliza Mkuu wa wilaya ya Momba mkoani Songwe,Juma Irando wakati wa kufunga mafunzo hayo

No comments:

Post a Comment