Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Tuesday, August 7, 2012

TUKO NANE NANE

Mwanamke ambaye hakufahamika jina lake akiwa amenasa katika seng'enge alipojaribu kutumia njia isiyo halali kufika lilipo bwawa dogo la maji aliyokuwa akiyahitaji kwaajili ya matumizi katika Uwanja wa maonesho ya wakulima(Nane nane )kanda ya nyanda za juu kusini wa John Mwakangale jijini Mbeya
 Watoa huduma za vyakula katika uwanja wa John Mwakangale jijini Mbeya yanakofanyika maonesho ya wakulima nanenane kanda ya nyanda za juu kusini wakiendelea kuwatayarishia wateja wetu kama walivyokutwa na kamera yetu muda mfupi uliopita

1 comment:

  1. ALIYENASA HUYO AKOME LAKINI YAWEZEKANA NI MAISHA MAGUMU NDIO MAANA HATA KUPATA SHILINGI MIA 300 NGUMU LAKINI PIA HAO HUWEZA KUWA VIBAKA KAMA MIA 3 HANA ANAINGIA KUFANYA NINI KAMA SIO KUDOKOA...

    ReplyDelete