Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Sunday, February 8, 2015

CHOZI LA WATANZANIA

Kinu hiki cha kukoboa mpunga kilichopo katika kijiji cha Kapunga wilayani Mbarali kitabaki kuliliwa na watanzania miaka nenda rudi kwakuwa hakiwanufaishi kama ilivyokuwa malengo ya baba wa Taifa lao Hayati Julius Kambarage Nyerere.Alikijenga kwa mabilioni ya pesa lakini leo kinanufaisha wachache kutokana na sera ya uwekezaji.Nani amkomboe mtanzania!

No comments:

Post a Comment