Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Friday, February 10, 2012

Wachezaji Chipolopolo watembelea makaburi ya wenzao

 Wachezaji wa timu ya taifa ya Zambia,Chipolopolo wakiweka mashada ya maua kwenye makaburi ya wachezaji wenzao waliokufa kwa ajali ya ndege mwaka 1993 nchini Gabon.Hii ni ishara tosha kuwa safari ya wachezaji hawa licha ya kwenda katika michuano ya AFCON ililenga pia kwenda kuwaenzi wenzao.
Kikosi cha timu ya taifa ya Zambia Chipolopolo kikiwa uwanjani.Kikosi hiki kitakuwa uwanjani siku ya jumapili kukwaana na Ivory coast katika mchezo wa faibnali ya micjhuano ya African Cup of Nations AFCON

No comments:

Post a Comment