Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Wednesday, February 8, 2012

BREAKING NEWZZZZZZZZZZZZZ


Watu wanaandamana kuziba daraja la sarenda kutokana na mgomo wa madaktari Muhimbili.Watu wamebeba mabango kuishinikiza serikali kutatua tatizo hilo.Askari wapo wamekaa pembeni hawana la kufanya.

Foleni ni kubwa magari hayaendi wala kutoka mjini

No comments:

Post a Comment