Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Saturday, February 4, 2012

SWALI LA LEO

Je Mbeya City aka City Boys watakubali kuwabeba ndugu zao Tanzania Prisons walioanza mzunguko wa pili wa ligi daraja la kwanza wakiwa na hali mbaya?

No comments:

Post a Comment