Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Saturday, February 4, 2012

MIAKA 35 YA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM KESHO

Kesho ndo kesho.Mwenyekiti wa CCM Jakaya Kikwete ndani ya Kilimba Mwanza,Mizenzo Pinda Iringa huku nahodha akipunguza maumivu kwa vurugu zilizoelezwa kutokea kule Tunduma kwa kumwaga swaga ndaani ya Uyole jijini Mbeya

No comments:

Post a Comment