Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Friday, February 3, 2012

SHITAMBALA ALAUMIWA UCHAGUZI WA MUFA

Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya uchaguzi wa chama cha soka Mbeya mjini MUFA Sambwee Shitambala ametuhumiwa kukalia taarifa za maandalizi ya uchaguzi huo.

Baadhi ya wadau wanasema uchaguzi huo haujataangazwa na watu hawajui lolote

Inasemekana uchaguzi huo ilikuwa ufanyike Februari 5 mwaka huu lakini sasa umeahirishwa na haijulikani utafanyika lini tena

No comments:

Post a Comment