Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Tuesday, February 7, 2012

SHULE YA MSINGI SINDE KUFUNGWA KWA UCHAFU

Uchafu unaozagaa jirani na lango kuu la kuingilia shule ya Msingi Sinde jijini Mbeya

Afisa elimu mkoa wa Mbeya ametishia kuifunga shule ya msingi Sinde jijini Mbeya kutokana na uchafu uliopo jirani na shule hiyo kuhatarisha afya za walimu na wanafunzi shuleni hapo



No comments:

Post a Comment