Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Monday, February 6, 2012

MKUTANO MREFA WAOTA MBAWA

Mkanganyiko wa kimawasiliano baina ya Makamu Mwenyekiti wa Chama cha soka mkoani hapa Mrefa Ben Mwamwaja na makamu wake Laurence Mwakitalu umesababisha mkutano wa chama hicho uliopangwa kufanyika mwishino mwa wiki jana kutofanyika.

Mwenyekiti alithibitisha mkutano upo mpaka siku ya mwisho kumbe katibu amekwishawajulisha wajumbe kuwa umeahirishwa na haijulikani utafanyika lini kwakuwa MREFA haina fedhaa kwa sasa

No comments:

Post a Comment