Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Saturday, February 4, 2012

MBUNGE SUGU ATOA MSAADA WA DAWATI

MBUNGE wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi(Chadema) ametoa msaada wa jumla ya dawati 110 wenye thamani ya shilingi milioni tano kwa shule za msingi nne za jijini Mbeya.

Shule hizo ni Maanga,Ilomba,Lyoto na Sinde ambapo mbunge huyo amelazimika kutoa msaada huo kufuatia uhaba mkubwa wa dawati uliokuwa ukizikabili shule hizo.

No comments:

Post a Comment