Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Wednesday, February 8, 2012

Kila la kheri Tanzania Prisons ndani ya Sokoine na Mbeya City kule Songea

Wapenzi wa soka mkoani mbeya wanazitakia kila la kheri timu zinazocheza leo ligi daraja la kwanza.Tanzania prisons inacheza ndani ya uwanja wa Sokoine na Smaall Kids ya Rukwa huku Mbeya City ikichuana na JKT mlale mjini Songea

No comments:

Post a Comment