Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Tuesday, February 14, 2012

Ndoa ya Emanuel Ngalapa

Familia ya Emanuel Ngalapa leo inatimiza miaka mitatu ya ndoa yao.Ni siku ya historia katika maisha yenu.Mengi mmevumilia na sasa mna mtoto mmoja.Hongereni sana

Mwenyezi Mungu awabariki na kudumisha pendo lenu.Kwa jina la Baba, la Mwana na la Roho mtakatifu Amen!!!!

No comments:

Post a Comment