Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Saturday, February 4, 2012

MBEYA CITY,T.PRISONS ZATOKA SARE

MCHEZO wa ligi daraja la kwanza mzunguko wa pili uliozikutanisha timu za Mbeya City na Tanzania Prisons zote za jijini hapa umemalizika kwa sare ya bila kufungana.

No comments:

Post a Comment