Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Friday, February 3, 2012

NI T.PRISONS VS MBEYA CITY NDANI YA UWANJA WA SOKOINE JUMAMOSI HII

Tanzania Prisons kesho watajitupa uwanjani kukwaana na Mbeya city katuika uwanja wa Sokoine jijini Mbeya katika mzunguko wa pili wa ligi daraja la kwanza.Makamu mwenyekiti wa MREFA Ben Mwamwaja asema maandalizi yote yamekabilika na kinachosubiriwa ni mtanange

No comments:

Post a Comment