Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Monday, February 6, 2012

MBEYA WAHOJI BIA KUPANDA BEI



WANYWAJI wa vinywaji moto aina ya Bia Mkoani Mbeya wamehoji kupandishwa ghaflaa kwa bei ya vinywaji hivyo ambapo vimepanda kutoka shiklingi 1500 na kufikia kati ya shilingi 1700 na 2000 kwa Grocery na Bar za kawaida
.
Mtandao huu umefanya uchunguzi katika maeneo mbalimbali jijini Mbeya na kubaini kuwepo kwa hali hiyo ambapo moja ya eneo lililopandisha bei ya vinywaji hivyo ni Shaba Pub lililopo Soweto ambapo bia inauzwa shilingi 1800.

Shaka ya wananchi ni kupanda kwa bei hizo bila kampuni zinazohusika na uzalishaji kutoa taarifa kwa wateja iwapo kutakuwa na mabadiliko ya bei kama ilivyozoeleka

1 comment:

  1. sasa wanashangaa nini,si club za juu hizo?mona bia hiyo hiyo inayouzwa mtaani kwa sh 1500 au 2500 kwnye kumbi za starehe kama maisha club,
    slipway,jangwani sea breaz zinauzwa zaii ya elf 5.

    ReplyDelete