Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Friday, February 3, 2012

Maandalizi mchezo kati ya Simba na Vila Squad yakamilika

MAANDALIZI kwa ajili ya pambano la Ligi Kuu ya Vodacom kati ya Simba na Villa Squad yamekamilika. Kikosi kamili cha Simba kimeingia kambini katika hoteli ya Lamada jijini Dar es Salaam jana na wachezaji wako katika hali nzuri.

No comments:

Post a Comment