Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Saturday, February 4, 2012

DC BALAMA ATISHIWA MAISHA KWA KUZUIA LUMBESA

Mkuu wa wilaya Evance Balama akiri Lumbesa kuendelea wilayani Mbeya?Atakaa jitihada zaidi kukomesha.Asema wafanyabiashara wa Dar es salaam wamemfuata na kutishia maisha yake.

Balama ameyasema hayo katika kikao cha baraaza la madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Mbeya


No comments:

Post a Comment