Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Monday, February 13, 2012

HAPPY VALENTINE,UNGANA NA www.jodanyp.blogspot.com KUSHEREHEKEA

Kwa pamoja tusherehekee siku ya leo kwa AMANI na UTULIVU
 Tuwakumbuke walio katika makundi yaliyosahaulika,wapo YATIMA,WAGONJWA NA WATOTO WAISHIO KWENYE MAZINGIRA MAGUMU NA HATARISHI
 Tumshukuru MUUMBA kwa kutujalia kufikia siku hii muhimu na yenye historia katika maisha yetu.
 Kwa walio wanandoa,wapenzi ni siku nzuri kwetu kutafakari tulianzia wapi,tukatoka wapi,tuko wapi kwa sasa na malengo yetu ni kufika wapi.Kama kuna matatizo katika mahusiano yetu tuitumie siku hii kujadili kiini chake na tuyamalize ili tutimize malengo yetu
Uongozi wa mtandao huu unaungana nawe katika VALENTINE DAY yako.

No comments:

Post a Comment