Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Thursday, April 9, 2015

AJARI MBAYA TENA,ZAIDI YA WATU 10 WAHOFIWA KUFA


HABARI ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE ZINAELEZA KUWA KUNA WATU KUMI WANAHOFIWA KUPOTEZA MAISHA KATIKA AJALI YA BASI ILIYOTOKEA DAKIKA CHACHE ZILIZOPITA HUKO KATIKA ENEO LA MKATA WILAYANI HANDENI BAADA YA MABASI YA RATCO YA DAR ES SALAAM KWENDA TANGA KUGONGANA NA NGORIKA YA ARUSHA KWENDA DAR ES SALAAM.ABIRIA 10 WANAOHOFIWA KUFA NI WA BASI LA NGORIKA.






No comments:

Post a Comment