Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Tuesday, November 29, 2016

ZIARA YA WAZIRI WA ELIMU.SAYANSI NA TEKNOLOJIA BUSOKELO

 Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia,Profesa Joyce Ndalichako akikagua daftari za wanafunzi wa darasa la Pili katika shule ya Msingi Malema iliyopo katika Halmashauri ya Busokelo wilayani Rungwe.Nyuma yake ni Mwalimu mkuu wa shule hiyo Francisca Kalewa
 Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia,Profesa Joyce Ndalichako akishiriki kucheza na wanafunzi wa shule ya msingi Malema iliyopo katika halmashauri ya Busokeo wilayani Rungwe.
 Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia,Profesa Joyce Ndalichako akisalimiana na viongozi na wakuu wa Idara katika Halmashauri ya Busokelo
 Wakazi wa kijiji cha Malema kilichopo katika Halmashauri ya Busokelo wilayani Rungwe wakimsikiliza Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia,Profesa Joyce Ndalichako(hayupo pichani) allipofanya mkutano wa hadhara kijijini hapo baada ya kufanya ziara ya kukagua maendeleo ya elimu wilayani hapo

No comments:

Post a Comment