Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Monday, January 28, 2013

Naibu waziri wa Nishati na Madini Stephene Masele(Mwenye shati la kitenge) akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa kituo cha Mafunzo kwa wachimbaji wadogo cha Matundasi kinachoendeshwa na kampuni ya Matundasi Artsanal Small Scale Mine Development limited(MASMDC) alipotembelea kituo hicho akiwa na maafisa kutoka ofisi za madini wilaya ya Chunya.

No comments:

Post a Comment