Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Wednesday, July 2, 2014

TBL YATOA BEI ELEKEZI KWA VINYWAJI INAVYOZALISHA

.Wakati TBL wakitoa bei hizi elekezi tayari baadhi ya maeneo ya kutolea huduma za vinywaji ikiwemo City Pub na Mbeya Canival night Club bei za vinywaji zimepanda kiasi cha kuwatisha baadhi ya wateja waliokuwa wakipendelea kufika katika maeneo hayo

No comments:

Post a Comment