Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Tuesday, January 27, 2015

ULEVI NOMAAAAAAAAAA!!!!!!!!

 Jamaa ambaye hakufahamika jina wala makazi yake akiwa amelewa chakari kama alivyokutwa na kamera ya Lyamba Lya Mfipa katika mitaa ya Kabwe jijini Mbeya jirani na Blue House Pub.
PICHA NA ERASTO KIKWALA WA Lyamba Lya Mfipa

No comments:

Post a Comment