Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Friday, January 2, 2015

VITUKO VYA KUVUKA MWAKA

 Mmoja wa wakazi wa jijini Mbeya ambaye hakufahamika jina lake mara moja akiwa amelewa kiasi cha kushindwa kutembea kama alivyokutwa na Lyamba Lya Mfipa maeneo ya Ilemi Darajani jijini Mbeya.
Baadhi ya wakazi wakiendelea kumshangaa alipokuwa akishindwa kunyenyuka ili aendelee na safari.Ilikuwa Januari Mosi 2015 majira ya saa Kumi jioni.

PICHA NA ERASTO KIKWARA WA Lyamba Lya Mfipa

No comments:

Post a Comment