Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Thursday, December 7, 2017

MAADHIMISHO KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA KWA WANAWAKE NA WATOTO MBEYA

 Askari wa Jeshi la Polisi wakiwa wameshika Bango baada ya kuingia katika viwanja vya FFU jijini Mbeya mara baada ya Maandamano ya kuadhimisha Siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia Dhidi ya Wanawake na watoto yaliyoshirikisha wawakilishi wa vyombo vyote vya ulinzi na usalama mkoani humo

 Mwakilishi wa Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Mbeya,Mrakibu Mwandamizi wa Polisi,Hamis Lyangasungu akitoa taarifa ya hali ya ukatili kimkoa.
 Katibu Tawala wilaya ya Mbeya,Hassan Mkwawa akizungumza na wawakilishi mbalimbali wa Vyombo vya ulinzi na usaalama mkoa wa Mbeya,alipomwakilisha mkuu wa wilaya hiyo,Paul Ntinika kwenye Uzinduzi wa siku 16 za Maadhimisho hayo.

Wawakilishi mbalimbali wa Vyombo vya ulinzi na usalama mkoa wa Mbeya wakiserubuka na muziki na wadau mbalimbali kwenye Uzinduzi huo.






No comments:

Post a Comment