Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Wednesday, March 12, 2014

HATARIIIIIIIIIIII

Kuna kila sababu ya serikali kuweka utaratibu mzuri wa uuzaji vifaa kama hivi.Wauzaji pia wanapaswa waangaliwe kwani baadhi muonekano wao na biashara wanayoifanya inatosha kuingiwa na hofu unapokutana nao.Kijana huyu ni mmoja wa wafanyabiashara wa visu na mapanga mara nyingi amekuwa akiuza silaha hizo za jadi katika mitaa mbalimbali jijini Mbeya.Shida ni mwonekano wake ambao huwatisha watu mbalimbali kila anakopita zikiwemo sehemu za starehe kama Bar.

No comments:

Post a Comment