Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Wednesday, March 5, 2014

KUKAGUA MIRADI YA MAJI WILAYANI MBARALI

MKUU wa mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akipanda ngazi kukagua ujenzi wa tanki la kuhifadhia maji lililojengwa kwaajili ya mradi wa maji wa kijiji cha Igurusi wilayani Mbarali mara baada ya kuweka jiwe la msingi

No comments:

Post a Comment