Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Monday, March 10, 2014

SHAMRA SHAMRA ZA SHEREHE YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI KATA YA ILEMBO NA MASOKO

Wanawake wakishindana kuvuta kamba na wanaume.Kundi la wanawake lilionyesha umahiri mkubwa na kuweza kushinda mchezo huu wakiwabwaga wanaume kama inavyoonekana katika picha zinazofuata Mgeni rasmi Diwani wa kata ya Ilembo wilayani Mbeya Patrick Mwasenga akihutubia wakazi wa kata hizo mbili waliohudhuria sherehe zilizoandaliwa na kanisa la Anglikana kupitia mradi wa kuopinga ukatili wa kijinsia na unyanyasaji wa watoto unaoendeshwa kwa ufadhili wa watu wa marekani

No comments:

Post a Comment