Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Wednesday, March 5, 2014

UBUNIFU KATIKA SHULE YA SEKONDARI RUJEWA

HAya si matunda bali ni mawe yaliyotundikwa mtini kwaajili ya kulazimisha matawi ya mti huu kutawanyika na kutengeneza kivuli kizuri

No comments:

Post a Comment