Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Monday, May 12, 2014

COCACOLA BODABODA CUP 2014 KUANZA KUTIMUA VUMBI JUNI 14 MWAKA HUU

Mkurugenzi wa Matukio wa kampuni ya Citysign Promotion & Marketing agency, Geophrey Mwangunguru akizungumza juu ya mabadiliko ya ratiba ya ligi ya soka ya Waendesha boda boda jijini Mbeya ijulikanayo kama Cocacola Bodaboda Cup 2014 ambapo sasa ligi hiyo itaanza kutimua vumbi Juni 14 mwaka huu kwa udhamini wa kampuni ya vinywaji baridi ya Coca Cola kupitia kiwanda chake cha Mbeya Meneja masoko na mauzo wa Cocacola kanda ya nyanda za juu kusini Jayant Vekaria akikabidhi jezi kwa viongozi wa timu za madereva wa boda boda zitakazoshiriki ligi hiyo

No comments:

Post a Comment