Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Monday, May 5, 2014

MEDIA DAY MBEYA ILIVYONOGA

KATIBU WA CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI MKOANI MBEYA(MBPC) EMANUEL LENGWA AKIZUNGUMZA JAMBO KATIKA BONANZA LILILOFANYIKA KATIKA VIWANJA VYA CHUO CHA UHASIBU(TIA) MBEYA Mwanahabari Innocent Ng'oko(Kati kati) akicheza na watoto waliofika kwenye viwanja hivyo kushiriki bonanza la Media Day Timu za netiboli za kikundi cha sanaa cha Mbeya All Stars(Bluu) na Kabwe Queens(Zambarau) wakimenyana katika mchezo wa Netiboli TIMU ZA SOKA ZA MBPC NA MBEYA ALL STARS ZIKIKAGULIWA TAYARI KWA MCHEZO.TIMU YA WASANII WA MBEYA ALL STARS WALIWEZA KUWAFUNGA KWA TAABU TIMU YA WANAHABARI GOLI 4-1. .Shindano la kutembea ukiwa umebeba yai katika kijiko Mwandishi wa habari wa gazeti la Mwananchi mkoani Mbeya Brandy Nelson akishiriki shindano la kuokota pesa ukiwa umefungwa kitambaa usoni

No comments:

Post a Comment