Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Monday, May 12, 2014

MAADHIMISHO SIKU YA MSALABA MWEKUNDU KITAIFA MBEYA

MGENI RASMI MKUU WA WILAYA YA CHUNYA AKITOA HOTUBA YAKE AMBAPO MIONGONI MWA MAMBO ALIYOAHIDI NI PAMOJA NA KUISHAURI SERIKALI KUACHA MATUMIZI MABAYA YA ALAMA YA MSALABA MWEKUNDI IKIWEMO KWENYE GARI ZA KUBEBEA WAGONJWA.

No comments:

Post a Comment