Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Saturday, August 16, 2014

Lyamba Lya Mfipa yatembelea ofisi za Tushiriki

Mhariri mkuu wa Lyamba Lya Mfipa  Bw.Joachim Nyambo(wa pili kutoka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Shirika la TUSHIRIKI alipotembelea ofisi za shirika hilo zilizopo Soweto jijini Mbeya.

Shirika la Tushiriki linaendesha mradi wa kuwawezesha wananchi kushiriki kikamilifu katika utunzaji wa mazingira ya misitu iliyopo pembezoni mwa mlima Rungwe.

No comments:

Post a Comment